Okay,mbna itakuwa mapema mno maana nimesex nae ijumaa iliyopita almost one weekkipimo kinauzwa buku tu, kanunue umpime upate uhakika ila hiyo ni mimba tayari
We ulitaka ipite miaka mingapi?Okay,mbna itakuwa mapema mno maana nimesex nae ijumaa iliyopita almost one week
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhh sidhan kma ni bleed coz nikimuuliza anasema haoni dalili za kubleed,kwan kwa wiki moja tu unaweza kugundua mimba?Mara nyingine huwa nia anakaribia kuingia bleed.. dalili zake hufanana na hizo.
Ila kwa uhakika kapime.. mzeya. Kitu ninacho kushauri kwa sasa prepare kuwa baba
Sent using Jamii Forums mobile app
YesHizo dalili ni mpya kwenye maisha ya huyo mpenzio?
[emoji252] [emoji479]
Mim ndo nimepiga tena akiwa kwenye siku zake za hatari,ijumaa iliyopita had leo ni wik mojaMzee wiki moja ni fasta sana dalili kuonekana. Jiandae kuuziwa mwana asiye wako. Ulipiga akiwa ashanasa. Pole sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe last friday ulisex mkuu. [emoji16]Okay,mbna itakuwa mapema mno maana nimesex nae ijumaa iliyopita almost one week
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah wala asee, yaan nilifanya kosa mno, sikutarajia hilo litokee kwa sasa[emoji47]Mbona Una wasiwasi Mkuu! Ni Mtoto Wa RC wetu Wa Dar nini halafu Mwanafunzi?
Duu na ukute hamjaoanaOkay,mbna itakuwa mapema mno maana nimesex nae ijumaa iliyopita almost one week
Sent using Jamii Forums mobile app