Je, hizi ni chale za kichawi au mikwaruzo?

Vamigo

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
415
Reaction score
851
Wakuu kwema, naishi nyumban ya kupanga mm na familia yangu, miezi 6 nyuma tumeupokea wageni wa4 wapya hapa tunapo ishi. Baada ya ugeni huo nikaanza kusikia jirani analalamika kuwepo Kwa matukio ya kishirikina mala mtu kusikika anatembea juu ya bati, mwingine akadai alikuta kachanjwa chale.

Juzi wakati nimelala saa 7:40 usiku nikasikia kitu kinatenbea juu ya batikishindo nicha wastani, Kwakua palikua tulivu nikawaza pengine ni ndege au paka wanatembea huko maana hapa pia Kuna paka hua inavizia na kuingia ndani ya Fens kula mabako ya vyakula.

Leo nilikua nahisi jasho wakati najifuta futa jasho nikapifisha mkono mgogoni chini ya bega la kulia nikatoka na ngozi nikawaza Nini hiki ni ki barango au vip baadae nikanikagua nikakutana na mkwaruzo hii ambayo sijui nilipata pataje.

Em wajuzi nambieni kama hiki kinaweza kua ni chale au ni kipi na kipi nifanye maana nina siku siendi kanisani Wala sijawahi kwenda Kwa mganga ila nina weza kwenda kama itani bidi.

Screenshot_20260217-205022.jpg
 
Aisee, huo mgongo ni wako??? Hongera una mgongo mzuri!
 
Hapo ni kwenye kipapiro?
 
Hizo sio chale Mkuu, chale huwa zinachanjwa kwa idadi na kwa utaratibu maalumu kwa kugusa maeneo yote kuanzia kichwani hadi kwenye vidole.

Hiyo ni mikwaluzo ya kucha ama kitu chenye ncha Kali

Kama ulilala na ukajikuta hivyo asubuhi, inaonesha wale ndugu zetu wa usiku walifanikiwa kukutembelea na kukufanyia hayo

Jitahidi ukiwa unalala, uwe una swali/sali ili kuarika ulinzi wa Mungu
 
Una Ngozi nzuri saana bibie

Hakuna chale za namna hiyo.
 
Una Ngozi nzuri saana bibie

Hakuna chale za namna hiyo.
Oya mie mwanaume
Popobawa huyo alikupitia mk

Hizo sio chale Mkuu, chale huwa zinachanjwa kwa idadi na kwa utaratibu maalumu kwa kugusa maeneo yote kuanzia kichwani hadi kwenye vidole.

Hiyo ni mikwaluzo ya kucha ama kitu chenye ncha Kali

Kama ulilala na ukajikuta hivyo asubuhi, inaonesha wale ndugu zetu wa usiku walifanikiwa kukutembelea na kukufanyia hayo

Jitahidi ukiwa unalala, uwe una swali/sali ili kuarika ulinzi wa Mungu
Pamoja kaka nitajitahidi... Nawaza hawa wageni walio Kuja huwenda Kati yako yupo mwenye michezo hiyo
 
Daah basi Kausha mwanangu don't take it personal.

Ila acha uwoga wa chale
Pamoja kaka maana lawama ni nyingi hapa home nikahisi pengine wageni wamekuja na michezo yao.
 
Mchawi hawezi Kuja kukupiga chale usiku ila anaweza kuja kuchukuwa nywele zako kidogo akasepa kufanya DNA yake.

Mganga wa tunguli ndio anapiga chale kwahiyo ili upate chale ni lazima uende mwenyewe Kwa mganga na wembe wako wa TOPAZ
 
Back
Top Bottom