Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,745
- 2,338
kuna mchizi wangu ktk maandalizi ya kuingia chuo kaandaa PASI YA UMEME,HEATER,RICE COOKER!JE hz ataweza kuzitumia iwapo atakuwa anaishi lyf la HOSTEL!waliotutangulia 2peni utaratibu wa ma2mizi ya socket za umeme chuoni!mchizi anaingia pale st.joseph dar!nawasilisha!