bwenyz
Member
- Sep 19, 2016
- 55
- 20
Habari zenu wana JF,mimi ni msichana ambaye nina mchumba wangu tunakaribia mwaka na nusu sasa katika mahusiano yetu, hatujawai fanya mapenzi ila huko nyuma niliwahi kuwa na mpezi na nikasex nae, tukaachana baada ya kumpata huyu yeye anasema tusigusane hadi tufunge ndoa, na ni mwaka na nusu sasa, yuko bize sana na biashara zake anasafiri sana, ila mahitaji ya hela vt napewa,
Sasa hivi nimekuwa nikiumwa kiuno sana, na kuna rafiki yangu nimemuuliza ananiambia ni kutokufanya mapenzi muda mrefu, sasa nmekuja mnishauri jamani, dawa gani naweza tumia kiuno kikapoa, nmemueleza mpenzi wangu ananiambia nimvumilie tuu ,tutafunga ndoa,