Natal Vice
Member
- Dec 8, 2013
- 16
- 8
wajuvi wa mambo wanasema, poor preparation kabla ya mechi inachangia sana katika tatizo hili..
halafu psychological problems nazo zinahusika.. pull yourself together for the action, sio wakati wa sex wewe unawaza matatizo yako mengine.... hapo obviously hautojisikia chochote...
btw, tusubiri experienced people...
yah! Umebonyoa sehemu nyeti mkuu.....ila miaka mitatu ni mingi sana , labda atuambie mara ngapi na idadi ya wanaume alioshiriki nao katika tendo.....lasivyo yeye mwenyewe huenda ana matatizo ya kiafya na hata kisaikolojia.......pia aseme kama alishiriki mnyetuko!
huyu si mwanamke lakini?
actually, nna mashaka, anaweza kuwa tom boy... jike dume!
they care nothing about sex..!
miaka mitatu yote hyo? afu ni mwanaume yule yule au wanaume tofaut tofaut? nahis shida itakuwa kwake 'ke'
huyu si mwanamke lakini?
actually, nna mashaka, anaweza kuwa tom boy... jike dume!
they care nothing about sex..!
miaka mitatu yote hyo? afu ni mwanaume yule yule au wanaume tofaut tofaut? nahis shida itakuwa kwake 'ke'
miaka mitatu mwanaume mmoja? Labda iwe ndoa!
inawezekana ikawa sawa na kile unachosema maana ni vigumu kuamini mwanamke aliyekamilika , tena hasiolewa ...kutohisi lolote katika sex kwa miaka mitatu! Huyu ana matatizo ya kisaikolojia.....nakubaliana nawe mkuu wangu Excel
ha! ha! mkuu kwan inashindikana?
mkuu unajua wanawake wa hivi wako wachache sana...
hypothesis yangu nyingine naweza sema kwamba kakeketwa..! unless aje athibitishe kwamba hajakatwa antena yake...
nahisi hapo panahusika sana!
kukeketwa nako kunahusika.... antena ikiondolewa, feeling za sex huwa zinapaa!
inawezekana mkuu....ila kama
ni mwanaume mmoja kwa miaka yote hiyo lazima mtatafuta suruhu maana
kila mmoja atakuwa huru na mwenzie......ila maelezo ya mtoa mada
hayajajitosheleza!
hapohapo mkuu!......hivi
mwanamke akikeketwa hawezi akatibiwa kitaalam kufurahia tendo bila kuwa
na ile kitu pale kati?
hapohapo mkuu!......hivi mwanamke akikeketwa hawezi akatibiwa kitaalam kufurahia tendo bila kuwa na ile kitu pale kati?