Je hili ni kweli?

Basi ondoa shaka,nafanya maandalizi nikupaishe Seychelles ukavinjari kwa raha zako,ule matango pori kwa divai na bata mzinga wa kubanika.
Hizi swaga nilishazistukia aisee!! Muulize Heaven Sent kilichonikuta.
 
Hebu weka wazi mamii,maana naona unataka kuchomoa aisee.
Yaani nilidanganywa hivyo hivyo! Kilichofuata itv ngoja doughter atakuelezea mie nipo tu najiburuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…