Yawezekana ni hisia Zako zikawa zinakupa Majibu unaiona taswira ya huyo x wife. Pia yawezekana ni Mungu anakujibu kuwa Huyo ndiye Mke Sahihi Kwako. Ukiona unachanganyikiwa kuhusu hili au unashindwa kuwa na Uhakika wa Jibu. Shirikisha Watumishi Wa Mungu Mbalimbali wakusaidie Kumuuliza Mungu. Lazima jibu utapata Moja la Uhakika.