"je hili ni chaguo la mungu"

"je hili ni chaguo la mungu"

changwala

Member
Joined
Aug 1, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Ulikua na mume au mke wako ukagundua amechepuka na kupata mtoto nje ya ndoa yenu na ukaamua kumuacha.Ukazidisha maombi kwa muumba ili akupatie wa kufanana nawe lakini kila ukionyeshwa na mungu inakuja picha ya yuleyule uliemuacha.Je utamrudia? na je huyo ni chaguo la mungu?
 
Kuna sala nyingine Mungu anaziba masikio.
 
Imani bhana ni shida,"eti chaguo la mungu"
 
Ngoja nikupeleke kiimani.

Kwa mujibu wa Imani yangu mtoto siku zote hana kosa hata chembe.

Wenye makosa ni wazazi wao
 
mara nyingine mapenzi ya Mungu yanaweza yasikufurahishe.. ila yy ni Mungu anajua mwanzo na mwisho wako.
 
Yawezekana ni hisia Zako zikawa zinakupa Majibu unaiona taswira ya huyo x wife. Pia yawezekana ni Mungu anakujibu kuwa Huyo ndiye Mke Sahihi Kwako. Ukiona unachanganyikiwa kuhusu hili au unashindwa kuwa na Uhakika wa Jibu. Shirikisha Watumishi Wa Mungu Mbalimbali wakusaidie Kumuuliza Mungu. Lazima jibu utapata Moja la Uhakika.
 
Back
Top Bottom