JE hili nalo ni kweli?

JE hili nalo ni kweli?

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Nimemsikiliza Msigwa akiwa Udom akiwaambia wanachuo kuwa rais ameagiza kuwapelekea wanafunzi wa vyuo vikuu burudani kwa kuwa wanasoma sana.

Nimejiuliza, hivi hili nalo rais kaagiza? Burudani wakati ambao wanafunzi wako bizee na kuandaa UE?

Anaagiza burudani wakati kuna vilio vya haki kila Kona?

Anaagiza burudani wakati kuna vilio vya watu kutekwa na kupotezwa?

Anaagiza burudani, wakati kuna vilio vya tume huru ya Uchaguzi?

Anapati wapi ujasiri wa kuagiza burudani kipindi kigumu hiki?
 
Msigwa amejibiwa effectively na immediately kuwa NO REFORMS NO ELECTION , kwisha habari yake
 
KUNA MAHOJIANO FURANI RIDHIWANI KIKWETE ALISEMA KUNA SIKU ALIMUULIZA BABA YAKE BABA MBONA UNASEMWA SANA NK UPO KIMYA TU

MZEE JK AKAMJIBU MWANANGU NGUVU YA RAIS NIKUBWA SANA NIKISEMA NIDEAL NA KILA MTU INCHI HAITAKARIKA

SASA MAMA KIZIMKAZI YEYE AJUI NGUVU YA KITI CHAKE KAMUA KUA MTU WA MIPASHO ACHA WATU WARUKE NAYE
 
Baado anatufanya sisi ni mataira wa kuwashobokea wasanii No Reforms No Election
 
90% ya viongozi wa Tanzania hawana akili timamu
 
Anaagizaga yule maza namfahamu, hukumbuki anampaga hela apeleke kwenye goli la mama
 
511cff82-ecff-4a27-9df0-12eb14f4e3fd.jpeg
 
KUNA MAHOJIANO FURANI RIDHIWANI KIKWETE ALISEMA KUNA SIKU ALIMUULIZA BABA YAKE BABA MBONA UNASEMWA SANA NK UPO KIMYA TU

MZEE JK AKAMJIBU MWANANGU NGUVU YA RAIS NIKUBWA SANA NIKISEMA NIDEAL NA KILA MTU INCHI HAITAKARIKA

SASA MAMA KIZIMKAZI YEYE AJUI NGUVU YA KITI CHAKE KAMUA KUA MTU WA MIPASHO ACHA WATU WARUKE NAYE
Rais hana nguvu kubwa kuliko wananchi….Never Dunia nzima.
 
Back
Top Bottom