Mkuu insu sio utaratibu\sheria kuwepo au kutokuwepo, mleta mada anaona utaratibu huu ni aina ya utapeli, wewe unaona ni sawa kugharamia miundombinu ya mtu mwingine na wengine waje watumie kwa gharama zako? Mi binafsi sipingi tanesco kutaifisha miundombinu ya umeme iliogharamiwa na mtu, (kwa maslai ya nchi) lakini kwa nn wasimfidie kwenye units za umeme mpaka deni lake litapoisha? Mi naona sio utapeli tu, huu ni wizi kabisa!Siyo kweli unapotosha! miundo mbinu hiyo tiyari imeshakuwa mali ya SHIRIKA, alichokosa yeye ni subra ya kuwasubiria TANESCO wafanye Installations ya miundo mbinu yao wenyewe kwa kuwa PESA alikuwa nayo na sasa analazimisha FIDIA kitu ambacho hakiwezekani. Labda kama utaratibu umebadilika
Hakulazimishwa lakini, na angeweza kuuliza kama atafaidikaje kutoka kwa jirani watakaokuja kunganishiwa kupitia miundo mbinu aliyoilipia kuliko kuja kulalamika baadae wakati ameshafikishiwa umeme tiyari.Mkuu insu sio utaratibu\sheria kuwepo au kutokuwepo, mleta mada anaona utaratibu huu ni aina ya utapeli, wewe unaona ni sawa kugharamia miundombinu ya mtu mwingine na wengine waje watumie kwa gharama zako? Mi binafsi sipingi tanesco kutaifisha miundombinu ya umeme iliogharamiwa na mtu, (kwa maslai ya nchi) lakini kwa nn wasimfidie kwenye units za umeme mpaka deni lake litapoisha? Mi naona sio utapeli tu, huu ni wizi kabisa!
Hapa unayohaki ya kufungua kesi mahakamani, huu ni zadi ya utapeli na ulaghai.Ndugu wadau,
Kuna jambo linanitatiza katika mpangilio wa ufanyaji biashara wa hili shirika la umeme TANESCO. Mimi nahitaji kuunganishiwa umeme katika nyumba yangu umeme ambao nitakuwa naulipia kwa kadiri ya matumizi yangu. Lakini ninakerwa na huu utaratibu wa malipo ya vifaa vya kuunganishiwa umeme.
Kwa mfano natakiwa nilipie nguzo kadhaa, waya mita kadhaa, Transformer, na kadhalika jumla ya ngarama naambia ni Tshs Mil. 15, eti kwa ajili ya kuweka miundombinu ya kufikisha umeme ndani ya nyumba yangu. Lakini cha kushangaza baada ya kulipia vifaa hivi kwa Mil 15, vifaa husika vinageuzwa kuwa mali ya TANESCO Bila mimi muhusika kufahamishwa au kuombwa na Shirika hili.
Kupitia miundo mbinu hii niliyo nunua kwa pesa zangu za kudunduliza na mikopo, utaona TANESCO wakianza kuunganishia umeme watu wengine jirani yangu kwa bei nafuu bila kuulizwa au kuombwa na wahusika. Je hii ni haki? Shirika kujinufaisha kupitia mpango huu! Au kwa kuwa ni Shirika la Serikali linafanya litakavyo?
Je kujenga miundombinu ya umeme ni kazi ya mlaji au ni kazi ya msambazaji?
Masharti kuzingatiwa Binagi.Hapa unayohaki ya kufungua kesi mahakamani, huu ni zadi ya utapeli na ulaghai.
Kibaya hakiwi kizuri eti kwa sababu watu hawajalalamika! Ina maana ni sawa tu serekali iwafanyie mabaya raia wake kwa vile hawalalamiki au hawaoni!? Mbona unatetea dhuluma kupitia shida za wananchi!? Nyie ndo watu wakilalamika na kusema ukweli mnawaita wachochozi na kwamba hawakutakiwa kusema! (Fisimaji)Hakulazimishwa lakini, na angeweza kuuliza kama atafaidikaje kutoka kwa jirani watakaokuja kunganishiwa kupitia miundo mbinu aliyoilipia kuliko kuja kulalamika baadae wakati ameshafikishiwa umeme tiyari.
Hopeless!Kibaya hakiwi kizuri eti kwa sababu watu hawajalalamika! Ina maana ni sawa tu serekali iwafanyie mabaya raia wake kwa vile hawalalamiki au hawaoni!? Mbona unatetea dhuluma kupitia shida za wananchi!? Nyie ndo watu wakilalamika na kusema ukweli mnawaita wachochozi na kwamba hawakutakiwa kusema! (Fisimaji)
Silalamiki baadae bali huu ndiyo utaratibu wa Tanesco wanao utumia katika kuunganisha umeme, na ndiyo nauliza je hii ni HAKI !!Hakulazimishwa lakini, na angeweza kuuliza kama atafaidikaje kutoka kwa jirani watakaokuja kunganishiwa kupitia miundo mbinu aliyoilipia kuliko kuja kulalamika baadae wakati ameshafikishiwa umeme tiyari.
Haya mambo yapo kimaandishi mkuu,kama una document ziweke hapa ili tuweze kupata validation ya suala lakoSilalamiki baadae bali huu ndiyo utaratibu wa Tanesco wanao utumia katika kuunganisha umeme, na ndiyo nauliza je hii ni HAKI !!
Hahahahahavipi tukuletee na maji?
[emoji12] Mpelekeeni na maji kwa gharama hiyo hiyo...vipi tukuletee na maji?