JE HII TV INAWEZA TUMIKA Tz

JE HII TV INAWEZA TUMIKA Tz

Hivi TV aina ya LG42LH3000 inaweza kufanya kazi Tz.

kwa kipindi kile cha analogia ndio kulikuwa na tv zenye BAND moja. either vl or vhf or ul . hapo tv kama hiyo ya band moja ilikuwa ikija tz. basi ni majanga na lazima ibadilishwe tuner. lakini kwa sasa tupo digitali hakuna hofu. cha msingi tuu hiyo tv iwe na input za kueleweka either AV or YPbPr or HDMI etc
 
Back
Top Bottom