Kiufupi mkuu tech based businesses, ni zile biashara zinazotumia teknolojia.. Especially internet and other areas pia kama IT... Na kutoa huduma au kuzalisha products zenye uwezo wa kuwafikia mamilioni ya watu
Mfano facebook, instagram, uber, Netflix, amazon.. Hapa kwetu tuna kupatana, zoom tz, etc zote zinafanya leverage ya internet and technology kufikia millions
Na hapo ndipo raha yake inapokuja, if utakuwa successful ..
Ishu ni kuzitumia fursa zilizopo lakin kwa kuweka ubunifu wa technologies ili kuboresha huduma/bidhaa na kuwafikia watu wengi zaid
Pia wapo jamaa wa EAFRUITS kama sjakosea, sijui start-ups nyingi za hapa.. Maybe kina shule direct, Benji Fernandes NALA etc
Wajuz ongezen nyama