Je, hii ni tv au ni program gani?

mikedean

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Posts
3,271
Reaction score
4,655
Kwenye moja ya video amejirekodi Floyd mayweather akiwa kwake kwenye room fulani huku ukutani Kuna kitu Kama mlango lakini ni tv 3,zipo 2 kwa hiyo jumla zinaonekana Kama tv 6.je hizo Ni Tv au ni kifaa gani na Kama Ni Tv ni Aina gani?

Au ni projector tu?
Ahsanteni
 
Mi naona ni tv tuu, sema technology tuu
 
Sina uhakika mkuu ila TV za kisasa zina uwezo wa kusplit video input, mfano kama una dstv unaweza kuigawanya ikaonesha chanell mbili tofauti.

Kuhusu Muonekano kampuni nyingi kama Samsung na Tcl unaweza tumia baadhi ya TV zao wima, unaigeuza tu.



Kwa ku guess pengine ni Samsung Sero, maana bei zake Zinaendana Na mentality Ya huyo jamaa.
 
Ahsante, kwa kweli teknolojia inakua kwa kasi.
 
ni Vertical video wall(hua ni multi monitor setup) either kwa kutumia multiple computer monitors,tv's ama projectors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…