The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
:confused2: mie sijaona watu wanavituko kama wa TZ.... sasa huyo Mume hawezi kukaa peke yake mpaka aletewe mtu wa kukaa nae? halafu dini inasema wala msikaribie zina thats means haifai two adults wakae peke yao kwenye nyumba....anything can happen...
Aaah jamani tuwaachie wao wamekubaliana lakini na wakati mwingine mie naona herai nusu shari kuliko shari kamili............wanandoa wanahitaji mtoto kwa sasa; that is their focus...........there is a price to pay...............shem amekuja kukaba loaf ili kama itatokea uwepo msaada wa haraka..........hili likikubaliwa na likaeleweka halina ubaya lets be honest............uwepo wa shemeji unaweza kumzuia jamaa kujipindua na madem huko nje!
Mie naona inaleta amani kidogo kwa mke aliyeko Dodoma kuliko angmwachia uhuru wa moja kwa moja mumewe! Hebu tuangali pande zote za shilingi.
Habari wadau wa JF
Kuna jirani yetu ambaye tunakaa naye same compound alizaa watoto wawili bahati mbaya wote wakafariki kabla hawajafikisha hata umri wa miezi sita na wote walifariki kwa ugonjwa wa animonia sasa baada ya kushika mimba ya tatu ikawa imeamriwa huyu dada aende akakae kwa mama mkwe wake Dodoma ili apate uangalizi mzuri mume wa huyu dada yupo hapa Dar baada ya huyu dada kuondoka kwenda kwa mama mkwe akaletwa mdogo wake huyo dada ili aje kukaa hapo kwa mumewe na ni takribani mwaka mmoja sasa tokea yupo hapo, huyu mdogo wake amekuwa akimpikia na akimfulia nguo mume wa dada yake, Je kwa muda wa mwaka mmoja aliokaa hapo na mume wa dada yake huyu binti atakuwa anajisikiaje? Na je ni sawa kumuacha mumeo kwa muda wa mwaka mmoja ukaenda kukaa kwa mama mkwe na huku nyuma ukimuacha mumeo na mdogo wako wa kike nyumbani? Isije ikatokea kisa kama alichotuhadithia FirstLady cha Pain Over My Sister's Pregnancy For My Husband, Je hii ni sawa?
usiniambie haifai kabisa mwanaume kuoa au kulala na dada wawili ...ni fitna kubwa sana kwenye family... jamani hivi mungu alileta Prophets na vitabu vya nini? si kututoa ujinga? we are human beings we have values...unlike animals....Aaah jamani tuwaachie wao wamekubaliana lakini na wakati mwingine mie naona herai nusu shari kuliko shari kamili............wanandoa wanahitaji mtoto kwa sasa; that is their focus...........there is a price to pay...............shem amekuja kukaba loaf ili kama itatokea uwepo msaada wa haraka..........hili likikubaliwa na likaeleweka halina ubaya lets be honest............uwepo wa shemeji unaweza kumzuia jamaa kujipindua na madem huko nje!
Mie naona inaleta amani kidogo kwa mke aliyeko Dodoma kuliko angmwachia uhuru wa moja kwa moja mumewe! Hebu tuangali pande zote za shilingi.
haha labda wanamipango na ziraili ... kumbe ndio wanaamini hivyo..kazi kweli kweli... basi i am with you on that....noname mama mgonjwa mwaka mzima?
huyo mama alikuwa kama anaenda kuzaa kwa mkwe ende ...mtoto akikuwa ndani ya miezi mitatu arudi.
sasa hatarudi mpaka kuwe hakuna possibility ya watoto kufa? watajuaje wao? wanamipango na ziraili?
mama haumwi noname......................wanataka tu kuhakikisha watoto hawapati ugonjwa wakafa ATI.
arudi atunze mume, na hata kama anaumwa, arudi atunzwe na mumewe