Asu tz
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 336
- 86
Habr wakuu?
Samahan kuna vitu ambavyo vinaniumiza kichwa ikiwemo hil.
Je police kwa jina la haraka haraka wamezoeleka kama tigo.
Hawa jamaa wanahusika na ukamataji wa piki piki/ bodaboda wanapokukamata wanataka waendeshe pkpki wao hawatak kupakizwa je kuna sheria inayosema askar anapokukamata ni lazima umpe funguo ya usafir wako akuendeshe?
Nawasilisha kwenu.