Kuna mtu anahitaji kustiriwa nawe yuko kwenye shida kubwa ya kiutu waweza kuwa humjui ila anakufuatilia, kwa msaada ila amemsimulia mtu sasa huyo mtu hataki apate msaada kwako.AMEAMUA KUKUFUATILIA NYENDO ZAKO ZOTE, ANAAMINI UTAMSAIDIA.mwangaza huashiria uwezo wako wa kutatua shida hiyo.Hapana
Duh na paka jee ?Kuna mtu anahitaji kustiriwa nawe yuko kwenye shida kubwa ya kiutu waweza kuwa humjui ila anakufuatilia, kwa msaada ila amemsimulia mtu sasa huyo mtu hataki apate msaada kwako.AMEAMUA KUKUFUATILIA NYENDO ZAKO ZOTE, ANAAMINI UTAMSAIDIA.mwangaza huashiria uwezo wako wa kutatua shida hiyo.
Paka hutafsirika kama mtu anaetumwa kwa ubaya au mchawi.paka wako ni mtu mbaya anaefuatilia utafanya nini kwa mtu huyo.Anakufuatilia kwa ukaribu sana.Duh na paka jee ?
ww huna uwezo wa kutafsiri ndotoPole sana mkuu, jitahidi kuswali au kusali maana roho wa mauti anakuandama tena yuko kazi omba na kukemea hilo jambo ili kuiahirisha roho ya mauti, mauti yanayokunyemelea ni ya nguvu za Giza kuna mtu nakuwangia na kutaka kukuua, hivyo Fanya lolote ili kuiinua nguvu yako ya ulinzi
Ndio ni ndoto ya kawaidaMsaada
Ndotoni [emoji116]
Maeneo ya huku ninapokaa kuna makaburi nayafahamu upande wa kushoto ya Kiislam na upande wa kulia ya Kikristo katikati ninjia watu tunapita pkpk na magari pia.
Sasa wakati napita njia naelekea mishe zangu ghafla upande wa kushoto makaburi ya Kiislamu nikaona kaburi ambalo ni jipya kabisa juu yake kuna paka amekaa.
Sasa nilivyokuwa natembea yule paka akawa ananiangalia amenikazia macho mimi. Ghafla nilipokuwa naenda nikaghairi nikageuza nikawa naludi nilipotoka, sasa yule paka akawa ananiangalia macho yake yakaanza kuwaka mwanga mkali mpaka nikawa naumia macho, yani mwanga mkali sana.
Naomba mwenye kuielewa hii ndoto.
Asanten
Tafsiri wewe mkuu,kwani kuna tuzo!?ww huna uwezo wa kutafsiri ndoto
Kuna ndoto na maono, hujaota, umepata maono. Kaa tayari kwa makambanoMsaada
Ndotoni [emoji116]
Maeneo ya huku ninapokaa kuna makaburi nayafahamu upande wa kushoto ya Kiislam na upande wa kulia ya Kikristo katikati ninjia watu tunapita pkpk na magari pia.
Sasa wakati napita njia naelekea mishe zangu ghafla upande wa kushoto makaburi ya Kiislamu nikaona kaburi ambalo ni jipya kabisa juu yake kuna paka amekaa.
Sasa nilivyokuwa natembea yule paka akawa ananiangalia amenikazia macho mimi. Ghafla nilipokuwa naenda nikaghairi nikageuza nikawa naludi nilipotoka, sasa yule paka akawa ananiangalia macho yake yakaanza kuwaka mwanga mkali mpaka nikawa naumia macho, yani mwanga mkali sana.
Naomba mwenye kuielewa hii ndoto.
Asanten
Kweli kabisa niliwahi OTA ndoto yenye hofu marambili Kwa usikumoja nikafatilia maana ya Ile ndoto sikuamini baada yasiku mbili niligundua mambo mengi mabaya nilifanyiwa na rafikiyangu wa karibu sanaKuna ndoto na maono, hujaota, umepata maono. Kaa tayari kwa makambano