GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,417
- 127,514
Huhitaji kwenda kote huko, blood grouping tu inaweza mulika mwizi.....Kwa mwanaume namna ya kugundua kama umepigwa na kitu kizito ni kucheki DNA, izo zingine ni story tu
hata uko kwa wajombaKwani wee na mkeo tabia zenu zinafanana?
Wawili wanaweza kurithi tabia njema za mama yao, mmoja tu akarithi tabia zako mbovu mbovu