Je, hii ni kweli?

Je, hii ni kweli?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,035
Reaction score
126,504
Kwamba ukikutana na Familia ya Watoto kuanzia Watatu kwenda mbele kisha ukagundua Mmoja ya hao Watoto hafanani kabisa Kitabia na Wenzake basi jua ya kwamba huyo ni Mtoto wa Nje na Mama ( Mke ) alishiriki Shindano la Kibaiolojia lisilo rasmi la 'Nje Cup' nikimaanisha alimsaliti Mumewe?
 
We are living in the program.

If both of download and launch the same program all they'll express identical behaviours.

Behaviours = Subconscious Mind packages
 
Kwa mwanaume namna ya kugundua kama umepigwa na kitu kizito ni kucheki DNA, izo zingine ni story tu
 
Back
Top Bottom