Je hii ndiyo democrasia?

Je hii ndiyo democrasia?

Joined
May 26, 2011
Posts
29
Reaction score
0
Vijana wasomi kuacha taaluma zao na kufuata mkumbo wa siasa ni kupanuka kwa democrasia ama ni ulimbukeni wa kuiga??
 
Vijana wasomi kuacha taaluma zao na kufuata mkumbo wa siasa ni kupanuka kwa democrasia ama ni ulimbukeni wa kuiga??

Kama wewe ni mwanaharakati kweli basi jibu unalo.Huwezi kufanya harakati zozote dunia ya sasa kama huna elimu ya kutosha.
 
Kuwa specific, ulimbukeni wa kumuiga nani. Mwanasiasa asie msomi matokeo yake ni haya magamba.
 
internet access is completely abused ..... !
 
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 26th May 2011
Posts : 6
Thanks0Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0

UTUMBOOOOOOOO !
 
Umeona speach ya Obama kule uingereza, Tunataka maraisi kama wale. Sio Ngumbaro. Wacheni vijana wafanye siasa, wakomae. Siasa haina mwenyewe, inatuhusu sote. CDM kazaneni kutoa elimu ya uraia inaonekana bado kuna watu hawajakomboka kifikra, wana mawazo ya zidumu fikra za mwenyekiti.:biggrin1:
 
Back
Top Bottom