Uongozi wa uvccm kirumba kwa njia za hila umelitoa KANISA la Victory Mission Center Kwa manufaa ya mwenyekiti hili linajulika na ushahidi upo je hii ndio uvccm ya Mgufulu? Nitaleta Habari kamili hivibpude
wakubwa mbona tunalaumu tu. nani anayejua sababu za kanisa kuondolewa au kufukuzwa. kwa nini tunalaumu tu bila kupata chanzo au sababu kuu za wao kufanya hivyo. inawezekana ikawa kodi haijalipiwa au wameamua kubadili matumizi. mtu na mali zake huwezi kumpangia cha kufanya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.