Hapa ninaangalia mapitio ya moja ya hotuba ya Hayati Mwl. Julius K. Nyerere akiongelea sera ya ubinafsishaji. Neno kubwa nililo note alisema sera hii itazalisha mamilionea lakini wachache na pia itazalisha maskini wengi wa kutosha. Je hii inaweza ikawa imetimia?