JE hii Inawezekanaaa?

JE hii Inawezekanaaa?

Asu tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
336
Reaction score
86
Habar wakuu? Samahan wakuu mlango wangu wa DVD room hausom CD na nina lengo la kubadilisha WINDOW. Kuna jamaa ameniambia Nichomoe HARD DISC yng aweke kwny LaPTOp yake ili apige WINDOW chin then anirudishie HARD DISC yng ikiwa na NEW window. JE kwa mtindo huu siwez nikaharibu LAPtOP yng?

Msaada tafadhal..
 
Hii mkuu, huwa mara nyingi hukubari kwa PC aina moja tena mara nyingi model moja. Kama vipi tumia flash ku boot ndio njia ya uhakika zaidi.
 
Inawezekana sana lakini awe anajua sio anajaribu kwenye laptop yako

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Habar wakuu? Samahan wakuu mlango wangu wa DVD room hausom CD na nina lengo la kubadilisha WINDOW. Kuna jamaa ameniambia Nichomoe HARD DISC yng aweke kwny LaPTOp yake ili apige WINDOW chin then anirudishie HARD DISC yng ikiwa na NEW window. JE kwa mtindo huu siwez nikaharibu LAPtOP yng?

Msaada tafadhal..

akiweka kwenye pc yake, kitakachotokea ni windows itakuwa installed kwenye hdd yako kweli ila vitu vya muhimu kama drivers zitachaguliwa specific kwa ajili ya iyo pc so ukirudisha kwKo usishangae ikitokea skirini imekaa tenge au sauti hakuna
 
Hii mkuu, huwa mara nyingi hukubari kwa PC aina moja tena mara nyingi model moja. Kama vipi tumia flash ku boot ndio njia ya uhakika zaidi.
inategemea na upya wa computer yako si kila computer inaweza kuboot kwenye flash.
 
Haitoleta iharibifu wowote mkuu?
 
Umeshaambiwa, kwanza hiyo ni bahati nasibu na inaweza kuleta system instability, pili drivers zitazinguwa labda kama unatumia xp3 sp3 softnn kwani ina drivers kwa kila pc.

Tumia flash ku-install hiyo windows na huyo jamaa awe anajuwa kuinstall windows kwa kutumia flash kwani kuna configuration zinahitajika kuwa installed kwenye flash kwanza ili kuiwezesha kutumika kama booting device.

Kazi ni kwako.


Haitoleta iharibifu wowote mkuu?
 
inategemea na upya wa computer yako si kila computer inaweza kuboot kwenye flash.

Mkuu, ku boot kwa kutumia flash kunahitaji uwe na active usb port tu wala haijalishi kama PC ni mpya au kongwe.
 
Aisee,,....kumbe tuna technians wa maana JF...HONGEREN SANA VIJANA
 
Nashkuru wana JF woteeeeeeee nimefanikiwa kwa sasa MACHINE inapiga mzigo safiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Nashkuru wana JF woteeeeeeee nimefanikiwa kwa sasa MACHINE inapiga mzigo safiiiiiiiiiiiiiiiii.

Mkuu, acha ubinafsi! Ungekuja ukaeleza ni vp umetatua tatizo lako na sio kuleta furaha tu. Hili ni jukwaa la utaalam hivyo kila ufumbuzi utakua msaada kwa wengine.
 
Mkuu, ku boot kwa kutumia flash kunahitaji uwe na active usb port tu wala haijalishi kama PC ni mpya au kongwe.
Najua unabadirisa boot order kwenye bios, lakni kuna zile za kitambo hazina hiyo option kwenye bios. Labda kama kuna njia nyingine tujurishane.
 
Back
Top Bottom