"Je,hii inawezekana?"

huo ni urafiki tuu ila suala la kumuoa huwez jua kwa sasa,cha msingi soma kwa kwanza na baadae ndo utajua msimamo wake juu yako ila usimuweke kama mpenz wa kudumu maana mambo yakiharibika utaumia sana
 
Acha upuuzi ujinga mtupu soma shule A-leval unaona we ni msomi?
 
Maswali mengine bhanaa...
Ipo siku utakuja hapa jamvini na kutuuliza lunch ule chakula gani au mtoko wa jumamosi uvae viwalo gani...
 
"Sawa,uchumba kama nijuavyo mimi"SIMPLY" ni Kipindi kilichopo kati ya mahusiano na ndoa.Pia ni kipindi ambacho wahusika wanapata muda wa kuchunguzana na kujuana tabia.

:confused2::nono::nono::nono::A S-confused1:
 

"Ahsante sana Dr.Kwa ushauri wako mzuri."
 
Girlfrend au mchumba?

Hivi stages za kuingia kwenye mahusiano had ndoa yako vip mleta uzi?

,"Ok,kwanza kabla ya yote lazima kupendana kwanza,next ni kuingia kwenye mahushano ambayo ndiyo yanayopelekea uchumba kutokea;Then baada ya kujuana tabia kwa muda ndipo mnatambulishana kwa wazazi pamoja na maandalizi kwa ajili ya kuingia kwenye ndoa.Mimi najua ivyo tu ndugu yangu,cjui ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…