David Peter Sembosi
Member
- Jun 29, 2013
- 38
- 1
Nina mpenzi wangu tuliyetoka naye mbali na tunapendana sana,toka kidato cha pili hadi sasa niko kidato cha sita;japo yeye hakufanikiwa kufaulu kuendelea na A'level.Je,huu uchumba ni sahihi? Na inawezekana mimi kuja kumuoa?!"

Piga goti chini muulize hilo swali Mungu atakupa majibu.
ukifika chuoni uone zile skinjeans na kila dizaini ya watoto mwakemwake hautojiuliza maswali kama hayo maana majibu yatakuja automatically.PIGA SHULE KIJANA ukitoka hapo uingie jkt kidogo kuboresha ubongo.
kama kweli uko kidato cha sita ebu "difain" uchumba..
^^
Ajuaye yajayo ni Mungu tu.
Fanya jambo sahihi kwa wakati sahihi.
^^
Kipi sio sahihi...vipi uite uchumba, mshatambulishana kwa wazee. Maliza masomo dogo tafuta kazi then talk
Kwa kuvumiliana, itawezekana. Nakushauri uku ukiwa unasoma uwe mjasiriamali ili uwe unamwezesha. La sivyo wenye mifuko minene uwa wanakwapua kama mwewe akwapuye kifaranga cha kuku. Ndipo raha na maumivu ya kubwaga utokea
Other ways cheza na school fees vizuri