saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Jan 22, 2013 #1 Yaani hii inamvutia hata mteja kusogelea eneo la tukio.
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,955 Jan 22, 2013 #2 Mkuu saudari Hii itakuwa kule unguja nini?khaaaaaaaaa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Jan 22, 2013 Thread starter #3 MziziMkavu said: Mkuu saudari Hii itakuwa kule unguja nini?khaaaaaaaaa Click to expand... Yaani tangazo lenyewe linakupa hamu ya kula chakula, ama kweli waja leo waondoka leo!!!!!
MziziMkavu said: Mkuu saudari Hii itakuwa kule unguja nini?khaaaaaaaaa Click to expand... Yaani tangazo lenyewe linakupa hamu ya kula chakula, ama kweli waja leo waondoka leo!!!!!
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,955 Jan 22, 2013 #4 saudari said: Yaani tangazo lenyewe linakupa hamu ya kula chakula, ama kweli waja leo waondoka leo!!!!! Click to expand... Mkuu saudari Kinachonimaliza mimi unakula chakula nakufika kusema Hassan please don't kill me with Food? khaa kulikoni?????????????
saudari said: Yaani tangazo lenyewe linakupa hamu ya kula chakula, ama kweli waja leo waondoka leo!!!!! Click to expand... Mkuu saudari Kinachonimaliza mimi unakula chakula nakufika kusema Hassan please don't kill me with Food? khaa kulikoni?????????????
saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Jan 22, 2013 Thread starter #5 MziziMkavu said: Mkuu saudari Kinachonimaliza mimi unakula chakula nakufika kusema Hassan please don't kill me with Food? khaa kulikoni????????????? Click to expand... Yaani inaonyesha ni jinsi gani watu walivyokuwa wabunifu, lazima na wewe ukaagize ili uhakikishe kama ni kweli utaongea kauli hiyo. Ukiagaza ndo unakuwa umesha muungisha.
MziziMkavu said: Mkuu saudari Kinachonimaliza mimi unakula chakula nakufika kusema Hassan please don't kill me with Food? khaa kulikoni????????????? Click to expand... Yaani inaonyesha ni jinsi gani watu walivyokuwa wabunifu, lazima na wewe ukaagize ili uhakikishe kama ni kweli utaongea kauli hiyo. Ukiagaza ndo unakuwa umesha muungisha.