JBravo_Bmlo
Member
- Aug 22, 2011
- 9
- 1
Kulingana na Ukandamizwaji wa kikoloni uliopita miaka ile, nina mashaka hii Afrika bado sio yetu... Angalia Namna Rasilimali za Afrika zinavyohujumiwa tena in a good, smart and soft language na Bado hatuna jeuri ya kuzuia badala yake tunamulika tu mambo ya kihamiaji, mipaka na kubaguana huku wote tukiwa weusi tiiii!!! Sikatai Mtu aende au aishi nchi nyingine bila uhalali wala nyaraka, lakini tusidanganyike kuelekeza nguvu zetu dhidi ya mambo yasiyoiinua Afrika ya Waafrika... TUTOKOMEZE tabia ya Waafrika kuwa "REMOTE CONTROLLED" Waafrika Tunaweza....