Shamuse_bey JF-Expert Member Joined Jun 15, 2026 Posts 467 Reaction score 601 Jun 19, 2026 #1 Wanasema: bora kumuheshimu kila mtu mana huwezi jua kesho yako. Lakini hapo hapo kwenye swala la kutii, ni kukubaliana na kila maagizo unayopewa bila kwenda kinyume. Sasa ni kweli heshima ni bora kuliko kutii?
Wanasema: bora kumuheshimu kila mtu mana huwezi jua kesho yako. Lakini hapo hapo kwenye swala la kutii, ni kukubaliana na kila maagizo unayopewa bila kwenda kinyume. Sasa ni kweli heshima ni bora kuliko kutii?
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 45,590 Reaction score 135,579 Jun 19, 2026 #2 Ndiyo! heshima ni bora kuliko utii.
M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 33,768 Reaction score 51,010 Jun 19, 2026 #3 Mamlaka ni bora kuliko heshima na utii
Shamuse_bey JF-Expert Member Joined Jun 15, 2026 Posts 467 Reaction score 601 Jun 19, 2026 Thread starter #4 Nimekwelewa hapo kiongozi!
chapati mbili na chai Senior Member Joined Jun 1, 2026 Posts 100 Reaction score 189 Jun 19, 2026 #5 Utiifu na heshima vinaenda sambamba
Shamuse_bey JF-Expert Member Joined Jun 15, 2026 Posts 467 Reaction score 601 Jun 19, 2026 Thread starter #6 Sawa ila jua kua heshima haina kikomo yani huwa unamweshimu tu yeyote yule, ila kutii kunamipaka sikila mtu unaweza mtii kwa kila atalokutaka ufanye.
Sawa ila jua kua heshima haina kikomo yani huwa unamweshimu tu yeyote yule, ila kutii kunamipaka sikila mtu unaweza mtii kwa kila atalokutaka ufanye.