Je, Haya ni ya kweli?

Je, Haya ni ya kweli?

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,607
1. Sio wanaume wote wanaopenda michepuko

2. Sio wanawake wote wana mwanaume zaidi ya mmoja

3. Kuna wanawake hawana Boyfriend kabisa

4. Kuna wanaume hawana muda kabisa na wanawake.

5. Kuna wanawake bado ni bikira hata kati ya umri wa miaka 18-30. Bikira zipo.

6. Kuna baadhi ya wanaume hawajawahi kulala na mwanamke ingawa wana miaka 20-30

7. Kuna baadhi ya watu wapo kwenye mahusiano bila ya kukutana kimwili. Wana date lakini hakuna sex, mpaka watakapooana.

8. Wanaume wote hawapo sawa. Sio wote wanaofikiri mwanamke ni chombo cha starehe. Wapo wanaoheshimu wanawake.

9. Wanawake wote hawapo sawa na sio wote huvutiwa na pesa katika mahusiano, wanachotaka ni heshima, upendo na uaminifu.

10. Kuna watu karne hii bado ni waaminifu, hawawezi kusaliti na kukusababishia maumivu ya kihisia.

Watu hutofautiana sana tabia kutokana na malezi na misimamo binafsi.

Je haya ni ya KWELI au UONGO. Niambie..
 
Syo ya kwel mkuu,kila mwanaume anapenda na anataman kuwa na mchepuko tatzo ni...

>Hana kipato cha kuutunza mchepuko huo ili hali hata familia yake inamshinda

>Level au Wadhifa wake ktk jamii unambana sna maana ni kioo cha jamii

>Hana nguv za kutoshesha kwa kuhudumia mchepko

Hna mda wa kutosha wa kuhudumia mchepko na wife kwa wkt ata toft

>Hana uwezo (techinic)kumudu kila mara kumdanganya mkewe kuwa amechelewa kazn

>Malengo au bajet ya mwaka inazingua,maana mchepko wa sku hiz unademand hela ndef as if wew bank yke

Nawasilisha mkuu

Idilogy super star
 
1. Sio wanaume wote wanaopenda michepuko

2. Sio wanawake wote wana mwanaume zaidi ya mmoja

3. Kuna wanawake hawana Boyfriend kabisa

4. Kuna wanaume hawana muda kabisa na wanawake.

5. Kuna wanawake bado ni bikira hata kati ya umri wa miaka 18-30. Bikira zipo.

6. Kuna baadhi ya wanaume hawajawahi kulala na mwanamke ingawa wana miaka 20-30

7. Kuna baadhi ya watu wapo kwenye mahusiano bila ya kukutana kimwili. Wana date lakini hakuna sex, mpaka watakapooana.

8. Wanaume wote hawapo sawa. Sio wote wanaofikiri mwanamke ni chombo cha starehe. Wapo wanaoheshimu wanawake.

9. Wanawake wote hawapo sawa na sio wote huvutiwa na pesa katika mahusiano, wanachotaka ni heshima, upendo na uaminifu.

10. Kuna watu karne hii bado ni waaminifu, hawawezi kusaliti na kukusababishia maumivu ya kihisia.

Watu hutofautiana sana tabia kutokana na malezi na misimamo binafsi.

Je haya ni ya KWELI au UONGO. Niambie..
Ni kweli kabisa yote hayo, you attract what you're, ukiona humpati anaefit tabia zako ujue kuna sehemu unakosea jichunguze
 
1. Sio wanaume wote wanaopenda michepuko

2. Sio wanawake wote wana mwanaume zaidi ya mmoja

3. Kuna wanawake hawana Boyfriend kabisa

4. Kuna wanaume hawana muda kabisa na wanawake.

5. Kuna wanawake bado ni bikira hata kati ya umri wa miaka 18-30. Bikira zipo.

6. Kuna baadhi ya wanaume hawajawahi kulala na mwanamke ingawa wana miaka 20-30

7. Kuna baadhi ya watu wapo kwenye mahusiano bila ya kukutana kimwili. Wana date lakini hakuna sex, mpaka watakapooana.

8. Wanaume wote hawapo sawa. Sio wote wanaofikiri mwanamke ni chombo cha starehe. Wapo wanaoheshimu wanawake.

9. Wanawake wote hawapo sawa na sio wote huvutiwa na pesa katika mahusiano, wanachotaka ni heshima, upendo na uaminifu.

10. Kuna watu karne hii bado ni waaminifu, hawawezi kusaliti na kukusababishia maumivu ya kihisia.

Watu hutofautiana sana tabia kutokana na malezi na misimamo binafsi.

Je haya ni ya KWELI au UONGO. Niambie..

ukweli mtupu
 
Hiyo namba tisa naipigia mstari aisee. Tena wanawake wa hivyo ni wengi sana ila wanaume walio wengi wamekariri kwamba mapenzi hayaendi bila pesa kumbe sio.

Ila kusaidiana pale tunapozidiwa imo jamaani.

1. Sio wanaume wote wanaopenda michepuko

2. Sio wanawake wote wana mwanaume zaidi ya mmoja

3. Kuna wanawake hawana Boyfriend kabisa

4. Kuna wanaume hawana muda kabisa na wanawake.

5. Kuna wanawake bado ni bikira hata kati ya umri wa miaka 18-30. Bikira zipo.

6. Kuna baadhi ya wanaume hawajawahi kulala na mwanamke ingawa wana miaka 20-30

7. Kuna baadhi ya watu wapo kwenye mahusiano bila ya kukutana kimwili. Wana date lakini hakuna sex, mpaka watakapooana.

8. Wanaume wote hawapo sawa. Sio wote wanaofikiri mwanamke ni chombo cha starehe. Wapo wanaoheshimu wanawake.

9. Wanawake wote hawapo sawa na sio wote huvutiwa na pesa katika mahusiano, wanachotaka ni heshima, upendo na uaminifu.

10. Kuna watu karne hii bado ni waaminifu, hawawezi kusaliti na kukusababishia maumivu ya kihisia.

Watu hutofautiana sana tabia kutokana na malezi na misimamo binafsi.

Je haya ni ya KWELI au UONGO. Niambie..
Hapo # 3, hebu niintroduce kwa mmoja.
 
Yote yanawezekana kabisa tatizo vichwa vyetu vimekua na tabia ya kikumunist yani tunashirikiana mpk mawazo eti kwa sbb fulani na fulani wanafanya hivyo basi na fulani lazima afanye. Big No kuna watu wana maadili jamani acheni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom