je haya ndo mapenzi ???

je haya ndo mapenzi ???

Carla

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
398
Reaction score
331
wapendw inawezekana jabisa mimi cjui mapenzi ninini hebu someni hiki kisà then tushauriane "nina mdg wangu alikua anakaa na mpz wake since 2010 june ilipofika 2011 nikaanza kuletewa kesi dada mr kanipiga nikawapatanusha na kuwaambia mapz ya kupigana yameptwa na wakati, wakarud tena mara tatu tofaut kes ni kupigana tu na visa ni vya kawaida tu cio kwamba mtu ktka nje ya mahusiano hpna! sasa 2012 may mwanaume akawa katoka nje ya mahusiano mpaka mdg wang anagundua ilikua ni october2012 men akaomba msamaha
 
Kwa nini usiiweke hii mada kwenye jukwaa husika la mambo ya mapenzi?
 
hapa pako actve zaid nlambaa any way lem go kwenye mapenzi zaid thanxx n,
 
jukwaa la habari na hoja mchanganyiko,HII NI HABARI AU HOJA?Acheni upuuzi na mademu zenu nendeni kwenye jukwaa la mapenzi
 
Back
Top Bottom