Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 367
- 496
Kuna mmachinga mmoja likuwa akimnyima raha mchina
mmoja maeneo ya Kariakoo,jamaa kila akifika kwenye
hotel hiyo ya mchina huwa anamuongelea ovyo tu
mvimba macho huyo.
Mmachinga: nyie wachina wote kavu tu hamna mpango
wowote,angalia mlivyojazana hapa kwetu mnafanya
mpaka kazi za ufagizi halafu sisi tukafanya kazi wapi?
nendeni kwenu bwana mimi siwapendi hata kidogo na
inawezekana wewe ukawa ni mpelelezi umekuja hapa
kutupeleleza ili muichukue nchi yetu,washamba wakubwa
nyie angalia kwanza macho kama wavunja kokoto wa
kunduchi na matusi mengine mengi niyajuayo mimi
ninayesoma haya.
Basi ikapita kama miezi miwili jamaa kila akienda
kwenye ile hotel ya mchina huwa lazima amporomoshee
matusi,lakini kuna siku yule jamaa katika tembeatembea
yake akasikia neno la Mungu(dawa) lililomuingia
sawasawa akaamua kwenda kumuomba mchina msamaha.
Mmachinga:mchina nakuomba sana unisamehe kwa
matusi yote niliyokuwa nakutukana bila kisa,mimi ni
binadamu sijakamilika na nadhani umeyaona mapungufu
yangu,nakuomba sana unisamehe na yale yote
niliyoyafanya sintorudia tena.
Mchina:hakuna tatizo mimi nimekusamehe na kuanzia leo
sintokojolea tena kwenye supu unayokunywaga.
HOPE OF JF
CC
Senator JR