Ulimtafutia mchumba ndugu yako mwaka mmoja baada ya kuoana ndoa yao inaanza kuwa ndoana,Mara kadhaa unaletewa mashtaka na mara zote upande mmoja unaonekana una shida kubwa,je ukiamua kutengeneza mazingira ya kuwaachanisha utakuwa umekosea?i
Umesema ni "wana ndoa". Hao wana kiapo cha kuwa pamoja na kama kuna sababu ya wana ndoa hao kuachana iweke wazi kwao kisha wenyewe wataamua waachane au wavumiliane.