Je Goli litaingia hapo?

Je atafunga kweli?

Mkuu, goli lipo. kuna sehemu mbili ambazo Messi anaweza kufunga.
1. Atapiga nduki ya nguvu chinichini, kama zile za Roberto Carlos, ili ipite tobo kwa golikipa.
2. Ataipiga kwa namna ya ku-upindisha (curve) ili uingie katika pembe ya juu mkono wa kulia, litakuwa kama lile goli Ronaldhino alilowafunga waingereza (Siemens akishangaa tu) kwenye fainali za Kombe la Dunia.
 
Ushabiki ukipitiliza...!
 
Dah! Uwezekano wa kuingia hapo ni mdogo sana labda apige shuti kama lile la kwenye movie ya shaolin soccer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…