Je, gazeti la Nipashe ni marufuku kusomwa TBC?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,700
1,721
Wakuu,

Wakati mwingine hupitia chombo hiki cha umma kusikiliza kinavokuwa hewani.

Kinachonishangaza katika kusoma magazeti sisikii kusoma magazeti ya Mwananchi na Nipashe.

Hii si mara moja!
 
Nikitaja jina la kumpa MD wake nitafungiwa....
We fikiria lolote baya kuliko ndio hilo
 
Wakuu,

Wakati mwingine hupitia chombo hiki cha umma kusikiliza kinavokuwa hewani.

Kinachonishangaza katika kusoma magazeti sisikii kusoma magazeti ya Mwananchi na Nipashe.

Hii si mara moja!
Hivi bado mnaangaliga hiyo tbc...mimi toka Tido Mhando aondoke uwa siangaliagi,labda kama kuna harusi live inayonihusu!
 
Wakuu, leo nimesikia wakisoma gazeti la Nipashe. Kinachoshangaza hiki ni chombo cha umma na kwa sasa hapa nchini magazeti yaliyo makini ya kiswahili yanayoongoza ni Mwananchi na Nipashe. Haiingii akilini kuwa na gazeti la Uhuru na kuyaacha hayo.
 
Wakuu,

Wakati mwingine hupitia chombo hiki cha umma kusikiliza kinavokuwa hewani.

Kinachonishangaza katika kusoma magazeti sisikii kusoma magazeti ya Mwananchi na Nipashe.

Hii si mara moja!
Chombo cha uma upi ndugu.chombo ni chao
 
Back
Top Bottom