bowlibo JF-Expert Member Joined Dec 10, 2011 Posts 3,206 Reaction score 2,908 Apr 22, 2016 #21 Voice Of Zigua said: Kwanini ? @ Bowlibo Click to expand... Umeleta taswira mbovu sana, mbaya zaidi unatumia ID ya hatari, voice of zigua Yaani unadhihirisha unachoamini ndo wazigua wengi wanachoamini..... Hapa tafsiri yake ni pana, usikurupuke
Voice Of Zigua said: Kwanini ? @ Bowlibo Click to expand... Umeleta taswira mbovu sana, mbaya zaidi unatumia ID ya hatari, voice of zigua Yaani unadhihirisha unachoamini ndo wazigua wengi wanachoamini..... Hapa tafsiri yake ni pana, usikurupuke
The Guitarist JF-Expert Member Joined Jul 18, 2015 Posts 3,428 Reaction score 4,774 Apr 22, 2016 #22 una kichaa nini na wewe si ukaloge angalau tue na diamond wawili.........
bowlibo JF-Expert Member Joined Dec 10, 2011 Posts 3,206 Reaction score 2,908 Apr 22, 2016 #23 Janjaweed said: bull krapppp# Click to expand... Big human krappp, bull krapppp is essential for vegetable garden
Janjaweed said: bull krapppp# Click to expand... Big human krappp, bull krapppp is essential for vegetable garden
Voice Of Zigua Member Joined Apr 22, 2016 Posts 37 Reaction score 4 Apr 22, 2016 Thread starter #24 Hivyo ndivyo watu wanavyo amini huku kwetu Kenya ndiyo mana nimeuliza hapa ili nipate mawazo yenu pia
Hivyo ndivyo watu wanavyo amini huku kwetu Kenya ndiyo mana nimeuliza hapa ili nipate mawazo yenu pia
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 7,043 Reaction score 12,527 Apr 22, 2016 #25 Voice Of Zigua said: Sawa lakini nahitaji maoni Click to expand... Nakushauri unapoandika habari utumie busara na sio papara..
Voice Of Zigua said: Sawa lakini nahitaji maoni Click to expand... Nakushauri unapoandika habari utumie busara na sio papara..
Voice Of Zigua Member Joined Apr 22, 2016 Posts 37 Reaction score 4 Apr 22, 2016 Thread starter #26 Poa sana
chipolopolo 2 JF-Expert Member Joined Nov 10, 2014 Posts 3,292 Reaction score 1,841 Apr 22, 2016 #27 Hapana
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,258 Reaction score 13,265 Apr 22, 2016 #28 Voice Of Zigua said: Hicho ni kichwa cha habari tu Click to expand... Lete na miguu ya habari sasa
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,105 Reaction score 165,329 Apr 22, 2016 #29 Jibu langu ni Sijui, nitume S kwenda kwenye namba gani?
mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,191 Apr 22, 2016 #30 ndio anatumia na unamsaidia washauri na wasanii wengine watumie pia wapate mafanikio
K kabunda88 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2015 Posts 3,094 Reaction score 2,692 Apr 22, 2016 #31 Sijui
Baazigar JF-Expert Member Joined Aug 30, 2015 Posts 1,129 Reaction score 1,103 Apr 22, 2016 #32 Tangu uingie jf mwezi april unapost upuuzi tu
Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,575 Reaction score 12,368 Apr 22, 2016 #33 Voice Of Zigua said: Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje. Je unakubaliana na suala hili? "Ndiyo" au "Hapana" Click to expand... Waafrika tunaimani kuwa hamna mafanikio pasipo ndumba
Voice Of Zigua said: Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje. Je unakubaliana na suala hili? "Ndiyo" au "Hapana" Click to expand... Waafrika tunaimani kuwa hamna mafanikio pasipo ndumba
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,152 Reaction score 10,682 Apr 22, 2016 #34 umaskini hauishi kwa kujifunika kitamba cheusi mleta mada ni mbumbumbu wahed
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 13,167 Reaction score 34,623 Apr 22, 2016 #35 Hahaha napita tu mimi.
Nas Mapesa JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 5,286 Reaction score 5,423 Apr 22, 2016 #36 Mkidharauriwa mnaanza kulialia
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,573 Apr 23, 2016 #37 Voice Of Zigua said: Hicho ni kichwa cha habari tu Click to expand... Wewe ni mzigua?
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 16,109 Reaction score 18,581 Apr 23, 2016 #38 Tumia b ww tuone huo uchawi
mnyalukolokwetu Senior Member Joined Jan 10, 2016 Posts 156 Reaction score 40 Apr 23, 2016 #39 Muulizen mwenyewe mwanamuziki
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,396 Reaction score 103,816 Apr 23, 2016 #40 Voice Of Zigua said: Sawa ila nahitaji maoni yenu Free ideas Click to expand... Peleka Fesibuku utawapata watoto wengi tu huko wakuwauliza, Huku JF watu wanajitambua, Diamond ndio nani?
Voice Of Zigua said: Sawa ila nahitaji maoni yenu Free ideas Click to expand... Peleka Fesibuku utawapata watoto wengi tu huko wakuwauliza, Huku JF watu wanajitambua, Diamond ndio nani?