Voice Of Zigua Member Joined Apr 22, 2016 Posts 37 Reaction score 4 Apr 22, 2016 #1 Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje. Je unakubaliana na suala hili? "Ndiyo" au "Hapana"
Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje. Je unakubaliana na suala hili? "Ndiyo" au "Hapana"
I iman sanga Member Joined Jan 23, 2013 Posts 11 Reaction score 1 Apr 22, 2016 #2 Voice Of Zigua said: Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje. Je unakubaliana na suala hili? "Ndiyo" au "Hapana" Click to expand... Hapana
Voice Of Zigua said: Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje. Je unakubaliana na suala hili? "Ndiyo" au "Hapana" Click to expand... Hapana
DuppyConqueror JF-Expert Member Joined Mar 30, 2014 Posts 9,466 Reaction score 6,970 Apr 22, 2016 #3 Justify!
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,613 Apr 22, 2016 #4 Headline 'anatumia uchawi' halafu ndani unasema 'inasemekana'
Ambiele Kiviele JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 15,271 Reaction score 29,934 Apr 22, 2016 #5 Na wee nenda katumie uje uwe Bill Gate......!!!!!
Free ideas JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 3,508 Reaction score 2,058 Apr 22, 2016 #6 Voice Of Zigua said: Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje. Je unakubaliana na suala hili? "Ndiyo" au "Hapana" Click to expand... Wewe utakuwa ni Mkenya lazima maana Mtz hawezi anzisha uzi wa namna hiyo,maana nyuz za hivo huku tz zipo nyingi mno sioni kipya kwenye uzi wako
Voice Of Zigua said: Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje. Je unakubaliana na suala hili? "Ndiyo" au "Hapana" Click to expand... Wewe utakuwa ni Mkenya lazima maana Mtz hawezi anzisha uzi wa namna hiyo,maana nyuz za hivo huku tz zipo nyingi mno sioni kipya kwenye uzi wako
Voice Of Zigua Member Joined Apr 22, 2016 Posts 37 Reaction score 4 Apr 22, 2016 Thread starter #7 Hicho ni kichwa cha habari tu
Danpol JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 5,747 Reaction score 9,012 Apr 22, 2016 #8 The Boss said: Headline 'anatumia uchawi' halafu ndani unasema 'inasemekana' Click to expand... Mkuu, hivi vile vitunguu Vilikubali?
The Boss said: Headline 'anatumia uchawi' halafu ndani unasema 'inasemekana' Click to expand... Mkuu, hivi vile vitunguu Vilikubali?
I island JF-Expert Member Joined Nov 26, 2013 Posts 1,065 Reaction score 836 Apr 22, 2016 #9 "Kuanza kuwaza hivi ni ujinga tosha "
Voice Of Zigua Member Joined Apr 22, 2016 Posts 37 Reaction score 4 Apr 22, 2016 Thread starter #10 Sawa ila nahitaji maoni yenu Free ideas
bowlibo JF-Expert Member Joined Dec 10, 2011 Posts 3,206 Reaction score 2,908 Apr 22, 2016 #11 Thread ya kijinga iliyoanzishwa na mjinga kwa staili ya kijinga. Rudi shule ukajiendeleze kielimu, vingnevyo hapo baadaye kazi yako itakuwa kuokota makopo
Thread ya kijinga iliyoanzishwa na mjinga kwa staili ya kijinga. Rudi shule ukajiendeleze kielimu, vingnevyo hapo baadaye kazi yako itakuwa kuokota makopo
Voice Of Zigua Member Joined Apr 22, 2016 Posts 37 Reaction score 4 Apr 22, 2016 Thread starter #12 Kwanini ? @ Bowlibo
bowlibo JF-Expert Member Joined Dec 10, 2011 Posts 3,206 Reaction score 2,908 Apr 22, 2016 #13 Wazigua ninao wapwa zangu lakini Akili hii mbovu tumewasaidia kwenda shule hawajaipata
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,152 Reaction score 10,682 Apr 22, 2016 #14 Voice Of Zigua said: Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje. Je unakubaliana na suala hili? "Ndiyo" au "Hapana" Click to expand... bull krapppp#
Voice Of Zigua said: Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje. Je unakubaliana na suala hili? "Ndiyo" au "Hapana" Click to expand... bull krapppp#
Voice Of Zigua Member Joined Apr 22, 2016 Posts 37 Reaction score 4 Apr 22, 2016 Thread starter #15 Sawa lakini nahitaji maoni
mkudugwa JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 226 Reaction score 222 Apr 22, 2016 #16 Wazigua wachawi sana
long live my love JF-Expert Member Joined Feb 23, 2014 Posts 1,083 Reaction score 1,037 Apr 22, 2016 #17 Voice Of Zigua said: Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje. Je unakubaliana na suala hili? "Ndiyo" au "Hapana" Click to expand... Voice Of Zigua said: Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje. Je unakubaliana na suala hili? "Ndiyo" au "Hapana" Click to expand... MPUUZI WEWE. NENDA NA WEWE KACHUKUE UCHAWI UWE KAMA JAY Z KAMA UCHAWI BILA BIDII NA KUJITUMA NDO UNAAMINI. BADALA YA KUCHAPA KAZI, UCHAWI! UCHAWI, HOPELESS...
Voice Of Zigua said: Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje. Je unakubaliana na suala hili? "Ndiyo" au "Hapana" Click to expand... Voice Of Zigua said: Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje. Je unakubaliana na suala hili? "Ndiyo" au "Hapana" Click to expand... MPUUZI WEWE. NENDA NA WEWE KACHUKUE UCHAWI UWE KAMA JAY Z KAMA UCHAWI BILA BIDII NA KUJITUMA NDO UNAAMINI. BADALA YA KUCHAPA KAZI, UCHAWI! UCHAWI, HOPELESS...
njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,258 Reaction score 7,101 Apr 22, 2016 #18 watanzania bana
kimugina JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 1,142 Reaction score 577 Apr 22, 2016 #20 Chibude komaa mdogo wangu, Misukule kibao haikutaki mema