Wakuu, naomba kuuliza dawa za UTI zinaweza kubadili MP, maana huyu mke wangu aliugua UTI akatumia dawa mwezi wa nane tarehe 10, akatumia amoxyclac, sasa alitakiwa aingie MP tarehe 24/08/2019 na dalili zote alizipata ikiwemo maumivu ya nyonga... Ila hakubleed mpaka leo hii tarehe 03/09
Je shida inaweza kuwa nn