Je dawa za kurejesha ubikira zinafanya kazi ?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Baadhi ya wanawake nchini Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo wanadaiwa kutumia dawa ili kurejesha tena ubikira wao kwa lengo la kujiongezea thamani wakati wanapofunga ndoa.

=======================

Baadhi ya wanawake nchini Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo wanadaiwa kutumia dawa ili kurejesha tena ubikira wao kwa lengo la kujiongezea thamani wakati wanapofunga ndoa.

Inaaminika kuwa hicho ni moja ya vigezo muhimu kuonyesha kuwa msichana alikua na kulelewa katika maadili mazuri nyumbani kwao kwa mjibu wa mila na desturi zao.

Je dawa hizi zipo?

Je dawa hizo zinaweza kurejesha heshima hiyo hata kama msichana alikuwa kwenye mahusiano tayari?

Chanzo: BBC Swahili
 
Hivi bikra ina faida gani kwa ndoa za leo ambazo hazifikishi hata mwaka mmoja mmeshagawana mali zenu?
 
1466152839442.jpg

Mwanamke anaejitambua huamini haya
 
feki ni feki, og ni og tu, hata kama wewe si mzoefu wa hayo mambo ila ukikutana na bandia utaijua tu. kama vipi TCRA wapewe zabuni ya kuzifungia bikra feki ili washike adabu zao!
 
Back
Top Bottom