Je, dalili hizi zinaashiria nimeambukizwa Corona?

Mzee, nenda sauna weka temp 57 degrees Celsius, kaa hapo lazma virus zife haziwezi survive joto kwanzia 57 , AF ukitoka hapo piga chupa nzima kavu ya magic moment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waafrika hawafi kwa mafua mkuu! Wala usiende kukunyaga mafuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wote wanaugua corona hufa,asilimia 70 hupona na kuendelea na maisha
 
Mambo yalianza kama hivi nilikuwa nahisi joint za miguu zinauma, baadae nikawa nasikia baridi, kisha Zikaja dalili za mafua, homa ikawa kali kichwa kikawa kinauma sana na joto la mwili likaongezeka na mwili ukawa hauna nguvu na kushindwa kulala usiku ni kuweweseka tu, hali hii inakufanya usitake kubanduka kitandani kwa kuwa unahisi hauna nguvu kabisa. Baada ya kupata tiba angalau nimetengamaa japo kikohozi bado kipokipo na kinaishia.

Je, wakuu hizi zinaweza kuwa dalili za UVIKO
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…