Chanjo siyo lazima kama upo hapa hapa nchini na hao manesi kama wanalazimisha kuchoma watu chanjo basi hawafai kuwepo kazini, wapewe nafasi nyingine wakalime.
But chanjo inakuwa lazima endapo unatika nje ya nchi kwenda ughaibuni yaani hapo ni lazima utake usitake, labda ununue kile kikaratasi.