2gezaWeCan
Member
- May 1, 2015
- 84
- 21
Mambo binafsi ya chumbani kwa mtu imetupunguzia au kutuongezea nn katika taifaletu?Angalia vitu vinavyotuletea umaskini katika nchi yetu kama ufisadi,uwizi,yaani namaanisha
Picha niliyoiona ndo imenifanya niwaulize swali wenye majawabu siyo mapovu like u! kama povu ningenunua omo tu yatosha, teh...teh....!!Nikuulize swali rahisi sana; kuwa na Kamati ya Maadili bila maadili au kuwa na maadili bila Kamati ya Maadili kipi cha muhimu? Una macho huoni; una masikio husikii. Kusoma hujui hata picha nayo huelewi? Anyway, nenda pale Ufipa utajibiwa swali lako.
Wewe nijibu kwa kadri ya uelewa wako hili si swali la hesabu na siyo lazima ukariri kiasi cha kurekebisha swali?ulipaswa kuuliza hivi "CHADEMA kina jinsi ya kushughulikia swala la maadili ndani ya chama?""na ni kwa jinsi gani?"Haya maswala ya kamati aka vitengo si hoja yenye nguvu.mfumo wa uendeshaji maswala ya CCM c lazma Uwe Sawa na vyama vingine.
ulipaswa kuuliza hivi "CHADEMA kina jinsi ya kushughulikia swala la maadili ndani ya chama?"
"na ni kwa jinsi gani?"
Haya maswala ya kamati aka vitengo si hoja yenye nguvu.mfumo wa uendeshaji maswala ya CCM c lazma Uwe Sawa na vyama vingine.
ya nini?maadili ni mbowe na lisuNajua CCM wanayo kamati ya maadili kikatiba sasa nauliza tu kwa anayejua kama chadema wanayo pia? Angalizo: hii ni tofauti na 'kitengo' maana hili neno Kingunge kalitoa pale ubungo stand alipokuwa anakusanya ushuru.
Pale ndio pana kitengo kisicho rasmi kinachoratibu wapigadebe wa DSM yote na kufanya maamuzi yakiwemo kuratibu migomo ya drivers. Mimi naulizia kamati rasmi inayotambuliwa kazi zake kikatiba!
Jibu kwa upole bila mapovu!!
kamati ya maadili iko kwa mapanya buku lumumba.Chenge na tibaijuka wanaiongoza
Mkuu sijauliza kwanini hawana....teh....teh...! anyway nitaipitia katiba online, ahsante!Katiba ya CHADEMA iko online fungua uisome mkuu. Hata hivyo, kila chama kina kanuni na taratibu zake. Sio lazima katiba za vyama vyote zifanane na katiba ya CCM
Najua CCM wanayo kamati ya maadili kikatiba sasa nauliza tu kwa anayejua kama chadema wanayo pia? Angalizo: hii ni tofauti na 'kitengo' maana hili neno Kingunge kalitoa pale ubungo stand alipokuwa anakusanya ushuru.
Pale ndio pana kitengo kisicho rasmi kinachoratibu wapigadebe wa DSM yote na kufanya maamuzi yakiwemo kuratibu migomo ya drivers. Mimi naulizia kamati rasmi inayotambuliwa kazi zake kikatiba!
Jibu kwa upole bila mapovu!!
Kama unamsifu mtu aliyejiuliza swali na kujijibu yeye mwenyewe basi wewe ndio tatizo zaidi yake yaani ni 'janga.'..teh...teh! jibu ilikuwa wanayo au hawana full stop...kwi...kwi...kwi!We jamaa una akili sana, unatakiwa usome Havard kwa gharama za serikali.
Ile ya CCM iliyokata jina la Lowassa ni kamati ya Madili au kamati ya maadili? Mbona na yenyewe haikuwa na maadili?
Nikuulize swali rahisi sana; kuwa na Kamati ya Maadili bila maadili au kuwa na maadili bila Kamati ya Maadili kipi cha muhimu? Una macho huoni; una masikio husikii. Kusoma hujui hata picha nayo huelewi? Anyway, nenda pale Ufipa utajibiwa swali lako.
Mbona Slaa alipomwacha mkewe na kuchukua kimada Mushumbusi hiyo kamati mbona haikumshughulikia? Mbowe alipomzalisha Joyce Mukya mbona hiyo kamati haikumshughulikia?
Mbona Slaa alipomwacha mkewe na kuchukua kimada Mushumbusi hiyo kamati mbona haikumshughulikia? Mbowe alipomzalisha Joyce Mukya mbona hiyo kamati haikumshughulikia?
Mbona Slaa alipomwacha mkewe na kuchukua kimada Mushumbusi hiyo kamati mbona haikumshughulikia? Mbowe alipomzalisha Joyce Mukya mbona hiyo kamati haikumshughulikia?
Kwa mujibu wa Kingunge madili yanapigwa na 'kitengo' ila kamati ya maadili ipo tena kikatiba.Ile ya CCM iliyokata jina la Lowassa ni kamati ya Madili au kamati ya maadili? Mbona na yenyewe haikuwa na maadili?
Kwa mujibu wa Kingunge madili yanapigwa na 'kitengo' ila kamati ya maadili ipo tena kikatiba.