Je CHADEMA wana nini cha kujifunza katika ushindi huu wa Arumeru? Toa maoni ya

Wazo la kufanyia kazi uhamasishaji wa watu wa vijijini kuitambua CHADEMA na ubovu wa utendaji wa CCM ni la msingi. Pia kuhamasisha watu wapige kura, hasa vijana ni muhimu pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…