Yaani kwa maana nyingine Wanachama wanawezaje kumuondoa Mbowe kama hawamtaki? Kuna namna yoyote ile kulingana na Katiba ya chadema?
*Sijaleta hii Mada kulinganisha CCM na chadema, bali inahusu chadema, hivyo sitegemei kuulizwa kuhusu CCM!
Machadema bangi inawadhuru, swali jingine, jibu linatoka ma.k.a.l.i.on , ovyo kabisa.Tuna uwezo wa kupiga kura of No confidence kwa JPM.Mbowe he is there to stay.
Mbowe is here to stay
Zaidizaidi akitaka kuacha vijana nadhani hata wale wasio cdm wanaweza kutembea kwa miguu hadi kwake kumuomba na kumsihi aendelee.
Kupitia mkutano wa chama wenye ajenda ya uchaguzi...pale freeman atakapopata kura chacheHilo halikuwa swali langu, swali ni kwamba Je, kuna namna gani Kikatiba ya kumuondoa Mwenyekiti wa chadema?
Mkuu nitumie email yako nikutumie katiba ya ChademaUnafanyika lini huo Mkutano, yaani kila baada ya muda gani?
6.3.2 Muda wa Uongozi (a) Kila uongozi uliochaguliwa au kuteuliwa wakati wa uchaguzi mkuu wa Chama utashika wadhifa wake kwa kipindi cha miaka mitanoUnafanyika lini huo Mkutano, yaani kila baada ya muda gani?
Machadema bangi inawadhuru, swali jingine, jibu linatoka ma.k.a.l.i.on , ovyo kabisa.