Shambaboy jogoli
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 1,223
- 1,630
Karagabaho, kama mgombea uraisi Lisu alikuwa anazurura tu mitaani kashindwa hata kupitisha fomu majimboni, kaishia kuisumbua tume kuhakiki, wa majimboni si ndo balaa! Chandimu hamfai kabisa kupewa nchi.Kuna kila dalili kuwa this time hakuna anayetaka ujinga, NEC imewaonya Media kuwa hakuna Mbunge aliyepita bila kupingwa, maana yake ni kwamba zile mbwembwe za CCM za kujitangazia ushindi wa mezani zimeyeyuka, nitaattach barua ya NEC
Pili, Mgombea wa CCM kiti cha Urais amewekewa pingamizi na nafasi ya kushinda pingamizi hili ni ndogo sana!
Kama NEC wataendelea na msimamo wao ina maana mgombea wa CCM ataenguliwa rasmi.
Je CCM watakubali kushindwa? Hadi sasa kumbuka wameshapoteza hao wabunge waliosema wamepita bila kupingwa....
"Uchaguzi wa 2020 utakua rahisi sana" CCM hao
Ni kuwa viongozi wa CCM wenyewe na wanachama wao wanakubali kabisa kuwa Lissu kiboko na uchaguzi huu ni hatari kwao.Hahahaha
mpwa tufurahi kwa kila hatua hadi hapo itakapotamkwa vinginevyo! So far akina Mzee Makamba, Kinana na Wazee wengine wanagongeana tano kwa furaha kama nawaona vile
Ila kuna woga fulani umewashikaMkuu hawa tume mimi bado sina imani nao hivyo hizi kauli naona kama ni changa la macho. I maybe wrong though.
unaambiwa ni hatari !Muache Mungu aitwe Mungu zile risasi zote ali zizima sasa Mungu analeta ufunuo mwingine sasa bisheni muone pigo Mungu atakalo liangusha
Lissu The GreatestNi kuwa viongozi wa CCM wenyewe na wanachama wao wanakubali kabisa kuwa Lissu kiboko na uchaguzi huu ni hatari kwao.
Labda vuvuzela wa JF wao hawaelewi kitu kwao buk7 ndio habari ya mjini.
View attachment 1548856
Nyie hadi oktoba 28 ndio mtaelewa ccm ni kitu gani!Ni kuwa viongozi wa CCM wenyewe na wanachama wao wanakubali kabisa kuwa Lissu kiboko na uchaguzi huu ni hatari kwao.
Labda vuvuzela wa JF wao hawaelewi kitu kwao buk7 ndio habari ya mjini.
View attachment 1548856
Hawa jamaa ndio maana wanaitwa manyumbuTatizo mnayumba sana manyumbu,mara amnaimani na tume mara pongezi kwa tume.
mnalambishwa sukari kwenye kiganja wakatiuo shamba lenu la miwa linavunwa bila nyinyi kujua.
Ila kuna woga fulani umewashika
Mpaka Oct 28 utakuwa umelitaja jina la Lissu mara billion+[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Lissu anatafuta ongezeko la dau.. kutoka kwa mabeberu wanaotaka kufisadi ya nchi yetu.. afanye yote.. wakili muoga wa mahakama.. kufika kujibu kesi zinazomusubiri.. uwongo wa kutotokea.. eti yupo ndani siku 14.. yajayo muwe tayari kulia.. yeye anafanya kazi kupata pesa zaidi.. wameone anawasaidia..
Hatutaki vibaraka nchini hapa.. lissu hana sifa za kuongoza..
Magufuli 2020 [emoji817]
Bora nimpigie kura Rungwe lakini Huyu lissu hana tofauti na mange[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Lissu anatafuta ongezeko la dau.. kutoka kwa mabeberu wanaotaka kufisadi ya nchi yetu.. afanye yote.. wakili muoga wa mahakama.. kufika kujibu kesi zinazomusubiri.. uwongo wa kutotokea.. eti yupo ndani siku 14.. yajayo muwe tayari kulia.. yeye anafanya kazi kupata pesa zaidi.. wameone anawasaidia..
Hatutaki vibaraka nchini hapa.. lissu hana sifa za kuongoza..
Magufuli 2020 [emoji817]
Mpwa hebu niambie Pozi la JK, Makamba na Kinana muda huu baada ya kutoka hii tweet
Bado tuna safari ndefu sanaVyombo vilivyoripoti hayo vimechukuliwa hatua gani?
Au kwa vile taarifa ilikuwa in favor of migomba party na sio upinzani basi vyombo hivyo vimeachwa?
Hebu acheni ndoto za mchana bana na nyie mnadanganyana na kujazana sana ujinga.Unaambiwa pingamizi la Lissu wahusika hawachomoki ! kwa mara ya kwanza nchi inafanya uchaguzi bila mgombea urais wa ccm .
Hiyo jamaa anayevaa barakoa muda wote hii ni tahadhari tu ama wana jambo lao.
Vi hojaHakuna limechuja.. nyie mashabiki.. muendelee kukaa gizani.. mumwambie akimbie tena mahakama.. na hadi leo kasahau bantu ba kusisitiza kesi ya kupigwa risasi.. anajua watakamatwa wote viongozi wa Chadema.. walipanga wakapigana risasi.. dereva yupo wapi!!!!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Magufuli 2020 [emoji817]
Mara paaaap...No Magufuli = No Election
Mimi nalia tu na msambwanda wako tu dah[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Lissu anatafuta ongezeko la dau.. kutoka kwa mabeberu wanaotaka kufisadi ya nchi yetu.. afanye yote.. wakili muoga wa mahakama.. kufika kujibu kesi zinazomusubiri.. uwongo wa kutotokea.. eti yupo ndani siku 14.. yajayo muwe tayari kulia.. yeye anafanya kazi kupata pesa zaidi.. wameone anawasaidia..
Hatutaki vibaraka nchini hapa.. lissu hana sifa za kuongoza..
Magufuli 2020 [emoji817]
Msambwanda wote huo uliyokuwa nao watakuacha Kweli vggoNdio unanifahamisha.. kila la kheri na kuzimeza sijui kuzinywa.. naamini mufamilia munasaidiana kuwuguzana pamoja.. musali.. mutakuwa salama
Lissu kiki za kuongezewa pesa na mabeberu..
Magufuli 2020[emoji817]
Hyo Coco Chanel Ana msambwanda balaaaaWewe Itakuwa Msukuma maana huna ubongo mpana. mnajifanya bila ninyi nchi hai endi . Kuwaona wote walio watangulia hawana akili .