kulingana na nahali ilivyo katika nchi yetu uonevu ulivyo zagaa kila kona yanchi jewatanzania tufanye nini kukomesha uonevu huu makanisa yaliyo chomwa moto yamefikia 61 padre mmoja ameuwawa padre mwingine akajeruhiwa kwa resasi mchungaji akachinjwa hadharani wana nchi wasio nahatia kuuwawa namabomukila uitwao leo je?hii nchi 2015 tukipe chama gani?