Je ccm ni bora kuliko chadema 2013...?

Je ccm ni bora kuliko chadema 2013...?

sijison

Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
11
Reaction score
1
naombeni views zenu wadau wa jf kwan hali ya siasa siielewi mara huyu katupa boom wengi ccm mara chadema....
 
ccm wameacha kushugulikia matatizo ya wananchi wanashugulika na chadema. Kweli chadema ni imara zaidi
 
Chadema ni zaidi. mimi nipo kongwa kwa ndugai. madiwan wa ccm wanahaha kuteremsha bendera za chadema badala ya kutekeleza ilani yao ya uchaguzi.
 
naombeni views zenu wadau wa jf kwan hali ya siasa siielewi mara huyu katupa boom wengi ccm mara chadema....
Usiulize papa wa Rome ni mkatoliki. Mara zote CCM ni bora kuliko Chadomo. Chadema hawana mikakati ya muda mrefu walidhani mikakati ya muda mfupi matusi, kupandikiza chuki na udini vingewaletea umaarufu. Sasa imekula kwao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom