Nashukuru kwa hoja nzuri sana na kwa wakati muhafaka
jibu ni ccm kwa kaliba ya watu iliyonayo kwa sasa hawawezi kutuletea maendeleo.
Viongozi wa nchi wanaokumbatia ufisidai kamwe hawawezi kuwa chachu ya maendeleo sababu juhudi zao siku zote zitakuwa ni kuchota fedha badala ya kufikiria matatizo ya wananchi.
Nchi yenye misamaha ya kodi mpaka kwa mwekezaji mwenye mtaji wa milioni mia moja na nusu kwa muda wa miaka kumi kamwe maendeleo hayatapatikana kirahisi.
Nchi amabayo toka baba wa taifa afariki hakuna kiongozi anakuja na priority ya jambo analokusidia kulifanya na kulikamilisha kwa ufanisi ni dhahiri kwamba maendeleo ni ndoto.
Nchi yenye mfumo wa elimu usioeleweka hata kwa shule za msingi ni dhahiri hii ni hujuma ya kuwafanya watanzania wakose uwezo wa kutafakari kwa maendeleo yao.
Viwanda vilivyojengwa mkuu na kuuzwa na wanaotumia makasi kufikiri hebu fuatilia mkuu!
Nashukuru kwa hoja nzuri sana na kwa wakati muhafaka
jibu ni ccm kwa kaliba ya watu iliyonayo kwa sasa hawawezi kutuletea maendeleo.
Viongozi wa nchi wanaokumbatia ufisidai kamwe hawawezi kuwa chachu ya maendeleo sababu juhudi zao siku zote zitakuwa ni kuchota fedha badala ya kufikiria matatizo ya wananchi.
Nchi yenye misamaha ya kodi mpaka kwa mwekezaji mwenye mtaji wa milioni mia moja na nusu kwa muda wa miaka kumi kamwe maendeleo hayatapatikana kirahisi.
Nchi amabayo toka baba wa taifa afariki hakuna kiongozi anakuja na priority ya jambo analokusidia kulifanya na kulikamilisha kwa ufanisi ni dhahiri kwamba maendeleo ni ndoto.
Nchi yenye mfumo wa elimu usioeleweka hata kwa shule za msingi ni dhahiri hii ni hujuma ya kuwafanya watanzania wakose uwezo wa kutafakari kwa maendeleo yao.
baada ya miaka 50 ccm imeweza kufanya yafuatayo.na sasa wanaandaa bonge la sherehe ambayo haijawahi kushuhudiwa duniani ya kutimiza miaka hamsini.
- kuua miundombinu ya reli
- kushindwa kuendeleza bandari za tanga,dar,mwanza,mtwara,kigoma,na zanzibar .
- kuua shirika la ndege ATC na mifumo yote ya usafirishaji wa anga na kutugeuza sissi abiria wa kenya,ethiopia ,na south africa.
- kukaribisha uwekezaji holela na kugeuza viwanda vyetu kuwa magodown
- kushindwa kusimamia rasilimali za taifa kama madini ,ardhi,na mbuga za wanyama na kuzifanya kuwa ni mitaji ya wageni
- kuigeuza tanzania soko la bidhaa feki kutoka china
- kuigeuza tanzania kuwa shamba la bibi la wakenya na south africa
- kuiingiza nchi kwenye mikataba mibovu km ricmond dowans,symbion,rada ,meremeta,kagoda,tangold etc.
- kuwafanya watanzania wahanga wa mauaji yanayofanywa na wawekezaji na polisi.
- kuendeleza ujinga kwa kutoa elimu duni ambayo haikidhi viwango vya kimataifa.eg.shule za kata.
- kuwageuza vijana kuwa wamachinga na kutetea hali hiyo kwa kujenga machinga complex ambayo hata hivyo hawafaaidiki nayo.
- kuedelea kuutukuza mwenge na kutumia pesa nyingi za watanzania kuuzungusha nchi nzima
- kuendelea kutetea uzembe ktk jeshi hata wanapofanya madudu kama ya mbagala na gongo la mboto.
- kuifanya tanzania kuwa matonya(ombaomba)wa dunia hivyo kupoteza heshima kimataifa.
Mgao masaa 18
BAE wapate kuliko watanzania
Epa?
Kagoda?
Reli?
NK
Haya ndio wanayoweza CCM