johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 93,961
- 164,208
Tulishuhudia bunge lililopita Rais akishinikizwa kuwatimua baadhi ya mawaziri kwa sababu mbalimbali.Nyakati nyingine ziliundwa tume lakini mara nyingine ni kama ulifanyika uonezi wa wazi kama alivyotendewa David Mathayo aliyekuwa waziri wa mifugo.Swali langu ni je bunge linao uwezo wa kikatiba na kisheria kumshininikiza Rais wa JMT amtimue kazi mteule wake yeyote mfano Waziri, RC au DC?!Au yalikuwa ni matumizi "yasiyo sahihi" ya madaraka?Nawasilisha.