Duniahadaa JF-Expert Member Joined Oct 16, 2017 Posts 336 Reaction score 677 May 7, 2018 #1 Naombeni jibu na itafaa zaidi likiwa na reference, asanteni.
Ngushi JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 9,064 Reaction score 18,367 May 7, 2018 #2 ndio ni mdudu! ana antenna 3 pair of legs body divided into.....parts
carcinoma JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 5,058 Reaction score 13,852 May 7, 2018 #3 Ni kutokana na unavyotafsiri wadudu. Lakini ki sayansi spider sio mdudu(insect) Sababu mdudu (insect)anatakiwa kuwa ma 3 body parts na 3 pair of legs kitu ambacho spider hana
Ni kutokana na unavyotafsiri wadudu. Lakini ki sayansi spider sio mdudu(insect) Sababu mdudu (insect)anatakiwa kuwa ma 3 body parts na 3 pair of legs kitu ambacho spider hana
Duniahadaa JF-Expert Member Joined Oct 16, 2017 Posts 336 Reaction score 677 May 7, 2018 Thread starter #4 Ngushi said: ndio ni mdudu! ana antenna 3 pair of legs body divided into.....parts Click to expand... Asante kwa ufafanuzi ndugu umefanya vyema kuliko walioleta matani, lakini mbona hana hivyo ulivyo viainisha?
Ngushi said: ndio ni mdudu! ana antenna 3 pair of legs body divided into.....parts Click to expand... Asante kwa ufafanuzi ndugu umefanya vyema kuliko walioleta matani, lakini mbona hana hivyo ulivyo viainisha?
Duniahadaa JF-Expert Member Joined Oct 16, 2017 Posts 336 Reaction score 677 May 7, 2018 Thread starter #5 carcinoma said: Ni kutokana na unavyotafsiri wadudu. Lakini ki sayansi spider sio mdudu(insect) Sababu mdudu (insect)anatakiwa kuwa ma 3 body parts na 3 pair of legs kitu ambacho spider hana Click to expand... mada imefika patamu
carcinoma said: Ni kutokana na unavyotafsiri wadudu. Lakini ki sayansi spider sio mdudu(insect) Sababu mdudu (insect)anatakiwa kuwa ma 3 body parts na 3 pair of legs kitu ambacho spider hana Click to expand... mada imefika patamu
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,832 Reaction score 15,034 May 7, 2018 #7 Ni mnyama
Duniahadaa JF-Expert Member Joined Oct 16, 2017 Posts 336 Reaction score 677 May 7, 2018 Thread starter #8 Jibu hili hapa What are spiders? - Australian Museum
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,127 Reaction score 11,938 May 7, 2018 #9 Spider sio mdudu according to advanced biology. Wanajulikana kama arachnids. Kichwa kimeungana na sehemu ya kati, wakati mdudu lazima awe na sehemu tatu ktk mwili wake
Spider sio mdudu according to advanced biology. Wanajulikana kama arachnids. Kichwa kimeungana na sehemu ya kati, wakati mdudu lazima awe na sehemu tatu ktk mwili wake