ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,381
- 4,664
Mara nyingi katika biashara huwa unajikuta unakwama kwa sababu mbalimbali.
Sababu kubwa ikiwa ni kutokuwa na taarifa sahihi kwa wakati sahihi.
Je unajua kwamba tunaweza kukufanyia Free business needs analysis na kukupatia ripoti ambayo itakuwezesha kuifanya biashara yako iwe katika muelekeo sahihi?
BNA ni mfumo wa uhakiki wa biashara,Diagnosis unaotumia mbinu za SWOT analysis na market analysis ili kukupa mwanga wa muelekeo wa baishara yako in the short run and long run.Tunatumia wataalam wetu wa masuala ya fedha,Uchumi,Rasilimali watu na sheria kuifanyia biashara yako diagnosis ya kibiashara kisha tunakupatia BNA Report ambayo itakuongoza katika kuifanya biashara yako isonge mbele.
Tunafanya BNA kwa established business pamoja na startups as well as business ideas.
Kwa mawasiliano zaidi Piga simu Namba +255222820024 au +255717512851
Karibu Sana