Je BAVICHA ni mhimili mkuu CDM au Taasisi ya kumkomboa kijana wa kitanzania?

Kaseko

Senior Member
Feb 15, 2011
160
32
siku za hivi karibuni BAVICHA imekuwa na nguvu na kuonekana kuwa imetengwa sana, naomba kujua kwa undani zaidi.je malengo yaliyowekwa yanatekelezwa? Je vijana wameisha wafikia au watawafikia mahali walipo? Je ipo kwa nadhalia tu au kwa vitendo? Uchaguzi mkuu wa BAVICHA ujao utakidhi matakwa kama baraza ndani ya chama? Je juhudi zao zinaonekana katika ushindani wa vyama na jumuia zake.
 
Back
Top Bottom